TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM1 hour ago
KUMBE! Aliyejipachika kuwa dada wa hiyari wa Mbongo-Fleva, Nasibu Abdul
‘Diamond Platnumz’ ambaye ni zao la Shindano la Kimwana Manywele, Halima
Haruna ‘Kimwana’ amefungukia ishu ya mastaa kibao kujitongozesha wenyewe
kwa jamaa huyo.
*Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na dada yake wa
hiyari, Halima Kimwana.*
Halima Kimwana alielezea sakata hilo wikiendi iliyopita baada ya
kuulizwa undani wa skendo inayomkabili ya kumkuwadia au kumtongozea Diamond
kwa mastaa na kuwabadilisha kama nguo.
Kwa mujibu wa Halima Kimwana, huwa Diamond hajisumbui kumtongoza mwanamke
zaidi ... more »
0 Response to " JE WAJUA MASTAR WENGI WA KIKE HUJITONGOZESHSOMA ALICHOKISEMA DADA WA DIAMOND HA A KWA DIAMOND???? "
Post a Comment