TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM- 2 hours ago
BABA wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa
amefunguka kuwa mwanaye huyo siyo riziki yake kwani hana dalili zozote za
kumjali kama mzazi.
*Nasibu Abdul ‘Diamond’.*
Akistorisha na gazeti hili, mzee huyo alisema kwa sasa hataki
kumzungumzia kabisa Diamond kwa sababu alishamtumia ujumbe kwamba anatakiwa
kubaki kama baba tu na si vinginevyo.
*'Mshua' Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Jumaa.*
“Sitaki kumzungumzia Diamond kabisa kwa sababu nitaonekana najipendekeza
kwake kwa sababu ameshasema nibaki kama baba tu, naona siyo riziki yangu,”
alisema baba Diamond.
Alipoul... more »
0 Response to "BABA MZAZI WA DIAMOND AZIDI KUMSHANGAA MWANAE KWA KUMtosa, PATA HABARI ZAID ALICHOKISEMA HAPA."
Post a Comment