KANUMBA DAY KUFANYIKA DAR LIVE ,WASANII KIBAO KUHUDHURIA NA KUFUNIKA MBAYA MBOVU!!!!


RED CARPET NDANI YA KANUMBA DAY DAR LIVE USIKU HUU


  TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM on April 8, 2014 at 1:30am — No Comments

WATOTO WALIVYOADHIMISHA KANUMBA DAY NDANI YA DAR LIVE

Watoto wakiburudika na burudani katika kumbukumbu ya Kanumba Day ndani ya Dar Live.…
Added byTASWIRAINC@BLOGSPOT.COM on April 7, 2014 at 10:30pm — No Comments

  PEACHES GELDOF DIES RIP Dead at 25

Added by Global Publishers Ltd on April 7, 2014 at 10:27pm — No Comments

PEACHES GELDOF DIES RIP Dead at 25

Added by Global Publishers Ltd on April 7, 2014 at 10:27pm — No Comments

KANUMBA DAY NDANI YA DAR LIVE USIKU HUU

Akina dada wakionyesha baadhi ya kazi za marehemu Steven Charles Kanumba ndani ya ukumbi wa kisasa wa Dar Live.…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 8:00pm — No Comments

 


KANUMBA AENDELEA KUWALIZA WATU

Mchungaji Ambakisye Lusekelo akihubiri.…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 5:00pm — 2 Comments

MOblog INAOMBA RADHI KWA WASOMAJI WAKE‏

Print Mtandao wako wa habari www.modewjiblog.com unaomba radhi wa wasomaji wake kwa kutokuwa hewani kutokana na matatizo ya kiufundi yaliyojitokeza siku ya Jumamosi ambayo yameshughulikiwa na wataalamu wetu.
Kwa hivyo tunapenda kuwapa taarifa kuwa mtandao wetu umerudi hewani katika hali yake ya kawaida.…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 4:00pm — 2 Comments

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji.
 Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 1:26pm — 5 Comments

WASANII WAMKUMBUKA STEVEN KANUMBA

Baadhi ya wasanii wa Filamu za Kibongo wakiongozwa na Mzee Chilo (kushoto), Mwenyekiti wa Bongo Muvi Steve Nyerere na Sandra wakiwa katika kaburi la marehemu Kanumba ikiwa ni kumbukumbu ya miaka miwili tangu kifo…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 1:00pm — 2 Comments

MDHAMINI MKUU WA LIGI KUU AKUNWA NA USHINDANI WA LALA SALAMA

Dar es Salaam, 7 Aprili 2014. Huku ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara ikiwa inaelekea ukingoni mdhamini Mkuu wa ligi hiyo  Vodacom Tanzania, wamesema wanavutiwa na ushindani ulipo katika mechi za sasa za ligi na mbio za ubingwa.
Akizungumza punde baada ya kumalizika kwa…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 1:00pm — 4 Comments

MWAKILISHI WA JIMBO LA KIEMBE SAMAKI ATIMIZA AHADI KWA TIMU ZA JIMBO LAKE

Mwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (katikati) wakiteta jambo na Mwenyekiti wa CCM Jimbo la Kiembe samaki Ramadhan Mrisho wa kushoto, kulia Mwenyekiti wa Kamati ya michezo ya Jimbo hilo Juma Abdul-rabi kabla ya kukabidhi pesa taslimu na vifaa vya michezo kwa timu za Jimbo hilo ikiwa ni…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 12:40pm — 3 Comments

MIAKA 2 YA KIFO CHA KANUMBA: WASANII WENZAKE WALIVYOMKUMBUKA

Marehemu Steven Kanumba. Flora…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 12:30pm — 8 Comments

KUMBUKUMBU YA KANUMBA: LULU ASEMA ‘U STILL LIVE IN ME DADDY’

Elizabeth Michael 'Lulu'.…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 12:00pm — 7 Comments

WATANZANIA WASOMAO BEIJING CHINA WACHAGUANA, WAWEKA MIKAKATI YA KUDUMISHA MUUNGANO

Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Umoja wa wanafunzi wanaosoma Beijing, China (TzBeijing ) Bw.Philip Daninga akiongea na wanachama wa umoja huo muda mfupi kabla ya zoezi la kupiga kura lililofanyika mwishoni mwa wiki…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 12:00pm — 6 Comments

AKUTWA AMEUAWA ENEO LA AFRICANA-MBEZI JIJINI DAR

Mwili wa Erick 'Ras Kiduku' kama ulivyokutwa eneo la tukio.…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 11:39am — 6 Comments

The Last Breath - 3

ILIPOISHIA...

JOHNSON na mtoto wake mzuri Melania walikwenda Kinshasa kwa likizo ya wiki moja kabla Melania hajafungua shule, huko ndiko mama yake Melania, Loveness, anafanya kazi na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), likizo yao inakwisha na wanapanda ndege ya Shirika la Ndege la Congo kurejea Dar es Salaam kupitia Nairobi.  

Moyo wa Loveness una wasiwasi mwingi, angetamani sana Johnson na mwanaye…
Added by GLOBAL on April 7, 2014 at 10:35am — 5 Comments

0 Response to "KANUMBA DAY KUFANYIKA DAR LIVE ,WASANII KIBAO KUHUDHURIA NA KUFUNIKA MBAYA MBOVU!!!!"