SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA SASA KUIBUKA UPYA ,WASANII KIBAO WENYE MAJINA KUHUSISHWA,PAMOJA NA VIONGOZI WA DINI KEDEKEDE!!!!!!

Manage Reading list

 

TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM  - 57 minutes ago
KIMENUKA! Jeshi la Polisi Tanzania kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za serikali zimeanza kuwachunguza watu wenye majina makubwa ‘mastaa’ Bongo ambao wameibuka na utajiri wa ghafla, Uwazi limeambiwa. *Masanja Mkandamizaji.* Kwa mujibu wa chanzo nyeti ambacho kiko ‘jikoni’ kwenye jeshi hilo, mbali na mastaa, wengine ambao tayari orodha yao ipo ni wafanyabiashara, wafanyakazi wa serikali na viongozi wa dini ambao wameibuka kuwa mamilionea kwa muda mfupi huku shughuli zao za wazi zikiwa haziwezi kuwatajirisha. *Madawa ya kulevya.* *BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA NDIYO KIINI CHA Y... more »

0 Response to "SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA SASA KUIBUKA UPYA ,WASANII KIBAO WENYE MAJINA KUHUSISHWA,PAMOJA NA VIONGOZI WA DINI KEDEKEDE!!!!!!"