Mama mmoja aliwabembeleza madaktari kumfanyia opereshen
mtoto wake baada ya kuona anaota mkia ambao mpaka sasa una urefu wa inchi 5.
Mtoto huyo mwenye umri wa miwzi 5, alizaliwa na tatizo la uti wa mgongo (spina
bifida).
Kwa mujibu wa taarifa iliyochapishwa tarehe
ijumaa(25/04/2014) kwenye mtandao wa Metro, Nou Nou alipatwa tatizo hilo ambalo
linaendelea kukua ambalo husababishwa na
kutokea kwa nafasi katika uti wa mgongo. Katika kipindi cha siku tano baada ya
kuzaliwa mama yake aligundua kamkia kanaanza kuota na sasa mtoto huyo ana mkia
unaoonekana kabisa.
Akiwa na wasi wasi kuhusu makuzi ya mtoto wake, mama yake
Nou Nou amewaomba wapasuaji katika hospitali ya Changsha nchini China, kutafuta
namna ya kuondoa mkia huo.
0 Response to "MAAJABU YA DUNIA: MTOTO WA MIEZI 5 AOTA MKIA WA INCHI 5, MAMA ACHANGANYIKIWA,.,.,soma.hapa>>>>http://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment