

Jeshi la polisi mkoa wa Pwani linamshikilia Husna Iddi Kisoma (19) ,
mkazi wa Kisemvule Mkuranga mkoa wa Pwani kwa tuhuma za kumuua mumewe
Jumane Mwalami (21) baada ya kumvuta sehemu za siri na kuzinyofoa
kutokana na ugomvi uliosababishwa na wivu wa mapenzi.
Akizungumza na kipindi...
0 Response to "majanga:Husna Iddi Kisoma, mkazi wa mkoa wa Pwani atiwa mbaroni na jeshi la polisi kwa tuhuma za kuzinyofoa sehemu za siri za mumewe katika ugomvi wa wivu wa mapenzihttp://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment