TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM- 2 hours ago
NI shida! Zile shilingi milioni 13 alizotoa Wema Isaac Sepetu kumlipia
msanii maarufu wa sinema Bongo, Kajala Masanja asitupwe gerezani, bado ni
tatizo ikidaiwa kuwa sasa ngumi nje nje.
*Kajala akitoa maelezo kwa uchungu unaodhihirisha uhasama kati yake na
Wema.*
*JINA LA MILIONI 13 ZA WEMA*
Kwa muda mrefu sasa, Kajala amekuwa akitukanwa kwenye mitandao ya kijamii
hasa matusi ambayo
hayaandikiki huku akipachikwa jina la ‘Milioni 13 za Wema’ na kuahidiwa
kichapo.
Kwa mujibu wa watu wa karibu wa Kajala, staa huyo hana raha wala furaha
kwani ishu hiyo inamtesa kila kukicha.
*Wema Is... more »
0 Response to "MILIONI 13 ZAZUSHA TIMBWILI LA HATARII,WEMA NA KAJALA NGUMI NONDO NJE NJE WAPAMBE WAO WAINGILIA KATI."
Post a Comment