MSANII WA BONGO MOVE AWALALAMIKIA MASHABIKI WAKE KWA KUMLAUMU KUWA KILA ANACHOFANYA KUONEKANA KIBAYA


TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa anaumizwa na mashabiki wanaomshushia lawama kwa kila anachofanya.

Akizungumza na paparazi wetu, Wolper alisema wakati mwingine na yeye ni binadamu lakini kila anachokifanya, wafuasi wa mitandao ya kijamii wamekuwa wakimporomoshea lawama.
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper.

0 Response to "MSANII WA BONGO MOVE AWALALAMIKIA MASHABIKI WAKE KWA KUMLAUMU KUWA KILA ANACHOFANYA KUONEKANA KIBAYA"