yap,baada ya kimya cha mda mrefu ray c sasa kja na ngoma mpya,kwaajiri ya mashabiki na wapenzi wa mziki wake.watu wana hamu ya kusikia sauti ya msanii huyu,na ameonesha wazi kwa kupost picha yake istagram hivi karibuni ambapo inanyoonekana ni VIDEO KALI SANA,jionee mwenyewe picha hapo juu.......................
0 Response to "MSANII WA KTAMBO KDOGO WA BONGO FREVA WA KIKE REHEMA CHALAMILA MAARUFU KAMA RAY C KUONEKANA KWENYE TV NA COVER YA WIMBO MPYA"
0 Response to "MSANII WA KTAMBO KDOGO WA BONGO FREVA WA KIKE REHEMA CHALAMILA MAARUFU KAMA RAY C KUONEKANA KWENYE TV NA COVER YA WIMBO MPYA"
Post a Comment