HUYU JAMAA,NI NOMA KWELI!!!!!!!!!!!!
TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM- 1 hour ago
*Mama yake huwa anamuandalia kuku kama chakula cha siku lakini anakataa na
kutaka apewe vipande vya matofali.*
*Kwa siku moja anakula vipande kadhaa vya matofali ambapo kwa makadirio
huwa anakula kilo 3 kila siku.*
*Fundi huyo wa kujenga nyumba Pakkirappa Hunagundi anasema kwamba ameanza
kula vitu kama hivyo tangu akiwa na miaka 10 na anaweza kukosa chakula
lakini hawezi kukosa kula vipande vya matofali.Akiwa anapata chakula chake
hicho akipendacho(matofali) huwa anahitaji kikombe cha maji tu ili
kushushia na mwenyewe anasisitiza kwamba hajisikii tofauti kabisa.Mkazi
huyo wa ... more »
0 Response to "PATA SIMULIZI YA MTU WA AJABU,AMBAYE CHAKULA CHAKE NI TOFALI PEKEE....tazama na soma "
Post a Comment