THE PLATINUMZ!,DIAMOND NA NGASSA KUGOMBANIANA PENZI TAMU LA WEMA!!!!.......




  TASWIRA- 10 minutes ago
*BAADA* ya Mshambuliaji wa Yanga na Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Mrisho Ngassa kukana kuwa hana mahusiano na msanii wa muziki wa kizazi kipya Snura huku Snura pia akifafanua kuwa hawana mahusiano ya mapenzi, mshambuliaji huyo hivi sasa amehamishia majeshi yake kwa msanii wa filamu nchini Wema Abrahami Sepetu ambaye pia amewahi kuwa miss Tanzania. Ngassa ameingia katika rekodi ya wachezaji wa Bongo kuzama kwenye mapenzi na wasanii maarufu wa filamu nchini.Baadhi ya Mrisho Ngassa alivyo kuwa katika mahaba mazito na Snura,akisuka nywele za mpenzi wake. ... more »

0 Response to "THE PLATINUMZ!,DIAMOND NA NGASSA KUGOMBANIANA PENZI TAMU LA WEMA!!!!......."