taswirainc!@blogspot.com- 3 hours ago
KWENU,Mastaa wa filamu Bongo, Kajala Masanja na Wema Sepetu. Poleni kwa
tifu linaloendelea kati yenu. Hongereni kwa kazi za kila siku za kujipatia
kipato. Tuweke mambo yote pembeni, mimi kama kaka yenu, hebu tuzungumze
kirafiki kidogo leo.
Nimefuatilia kwa karibu ugomvi unaoendelea kati yenu, moyoni imeniuma na
nimeona naweza kuwashauri mawili matatu, nanyi mkiona inafaa, muyachukue
kama dira ya tatizo lililopo kati yenu.
Kajala
Kwanza kabisa, kiini cha ugomvi wenyewe mpaka sasa ni kama hakina mashiko. read more!!!!!!!
0 Response to "WALAKA MZITO KUWAENDEA WEMA SEPETU &MWENZIE KAJARA KUHUSU UGOMVI UNAOONDELEA KATI YAO PATA WALAKA HUO HAPA!!!!!"
Post a Comment