ACHENI BWANA MATITI YAKO KAMUONYESHE MUMEO HUKOOO ALAHAAAhttp://taswirainc.blogspot.com/ saa 4:29 PM

Hivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani? 

Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini matiti kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye V yaani maziwa kila mtu anayaona.

Halafu myebana mpaka mnatupa majaribu kufanya kazi na nyie. 

Acheni bwana matiti yako kamuonyeshe mumeo huko alaaaaaah
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOhttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to " ACHENI BWANA MATITI YAKO KAMUONYESHE MUMEO HUKOOO ALAHAAAhttp://taswirainc.blogspot.com/ saa 4:29 PM"