PICHA:UZINDUZI WA VIDEO YA WIMBO WA WEUSI 'GERE' ULIOFANYIKA MEDITTERANEO HOTELhttp://taswirainc.blogspot.com/ saa 4:04 PM

Kundi la Weusi linaloundwa na rappers kutoka Arusha, Joh Makini, Nick wa Pili, G-Nako na Bonta jana usiku (April 30) walizindua video ya wimbo wao unaofanya vizuri hivi sasa ‘Gere’ kwenye hotel ya Meditteraneo iliyopo jijini Dar es Salaam

Uzinduzi huo ulihudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo ndugu,jamaa na marafiki na wasanii wenzao na wadau wa muziki nchini








SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOhttp://taswirainc.blogspot.com/

0 Response to " PICHA:UZINDUZI WA VIDEO YA WIMBO WA WEUSI 'GERE' ULIOFANYIKA MEDITTERANEO HOTELhttp://taswirainc.blogspot.com/ saa 4:04 PM"