Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12
mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda
kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano
wa mchumba’ke.
“Tatuu zina maana lakini moja nimemchora mpenzi wangu na hata nikikutana na mwanaume yeyote anajifanya ananihitaji ajue kabisa ninaye nimpendae zaidi kwani tatuu hii siwezi kuifuta,” alisema Lungi ambaye amechafuka tatuu katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye titi, paja na kiuno.
CREDIT : SWAHILITZ

0 Response to "HUYU NDIYE MSANII WA BONGO MOVIES ALIYEAMUA KUJICHORA TATOO YA MPENZI WAKE KATIKA SEHEMU NYETI..!! TAZAMA HAPAhttp://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment