MASOGANGE TUNAMSINGIZIA JAMANI....KWA MARA YA KWANZA KUTANA NA MATILDA HIPSYhttp://taswirainc.blogspot.com/


 
Hatari sana... leo tunatembea bara zima kutafuta MIZIGO MIZITO...Huyu ni Matilda Quaye aka Matilda Hipsy kutoka Ghana... Waghana wengi wanamfahamu vizuri...Mara kadhaa amekuwa akisababisha foleni za magari kila atembeapo babarani...Askari wa barabarani nchini Ghana walishamuonya mara kadhaa juu ya swala hilo....Hehehe...Inasemakana jina hili la Matilda Hipsy alipewatoka utotoni (wazazi wana macho) ...PATA HAPA ZAKE TANO KWANZA

0 Response to "MASOGANGE TUNAMSINGIZIA JAMANI....KWA MARA YA KWANZA KUTANA NA MATILDA HIPSYhttp://taswirainc.blogspot.com/"