SHEIKH ILUNGA KAPUNGU AFARIKI DUNIA
on May 5, 2014 at 11:00am
0 Comments
0 Likes
SHEIKH
Ilunga Hassan Kapungu ameafariki dunia usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa
wa kisukari jijini Dar es Salaam. Mazishi yake yatafanyika leo Jumatatu
saa 10 jioni. Mwili wa marehemu utasaliwa katika msikiti wa Kichangani,
Magomeni-Mapipa jijini Dar.
Taarifa hii imetolewa na:
Sheikh Mohammed Kassim,
IPC Ubungo…

0 Response to "SHEIKH ILUNGA KAPUNGU AFARIKI DUNIAhttp://taswirainc.blogspot.com/"
Post a Comment