WOLPER: NIMECHOKA KUTUKANWA KILA KUKICHAhttp://taswirainc.blogspot.com/


  on May 5, 2014 at 4:00am 5 Comments
Stori: GLADNESS MALLYA
MOYO unauma! Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe amefunguka na kudai kwamba amechoka kutukanwa kila kukicha lakini pamoja na hayo yote hatingishiki kwa lolote.
Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe.
Habari zilieleza kuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram, Wolper amekuwa akitukanwa kila kukicha huku tetesi zikizagaa mtaani kwamba mwanadada…

0 Response to "WOLPER: NIMECHOKA KUTUKANWA KILA KUKICHAhttp://taswirainc.blogspot.com/"