WANAFUNZI WA CBE DOM WACHAFUANA KWA PICHA CHAFU NA MATUSI JUU INSTARGRAMhttp://taswirainc.blogspot.com/ saa 3:08 PM
Baadhi ya wanafunzi wa CBE Dodoma
wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intagram na mtu
ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni
mwanafunzi mwenzao ambaye anatumia jina tofauti kabisa na lake na pia
yupo miongoni mwao lkn bado hawajamfahamu....
Mwanafunzi huyo anayetumia Ac Feki ya
Instar anaposti picha za wanafunzi wenzake na kuwaponda kuwa ni malaya
wanaouza K.... pamoja na kuwachafua wengine kuwa ni mashoga. Baadhi ya
wanafunzi walio wengi wa CBE wamechukizwa na kitendo hicho cha
kuchafuliwa bila sababu yoyote na wamedhamiria kumsaka huyo mtu kwa
gharama yoyote ili aweze kuwajibishwa:Instargram anatumia jina
LEE_IN_BOY
SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKOhttp://taswirainc.blogspot.com/
0 Response to " WANAFUNZI WA CBE DOM WACHAFUANA KWA PICHA CHAFU NA MATUSI JUU INSTARGRAMhttp://taswirainc.blogspot.com/ saa 3:08 PM "
0 Response to " WANAFUNZI WA CBE DOM WACHAFUANA KWA PICHA CHAFU NA MATUSI JUU INSTARGRAMhttp://taswirainc.blogspot.com/ saa 3:08 PM "
Post a Comment