Kitoto kichanga kilichotelekezwa na wazazi wake kinyume cha sheria kikiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili.
N hali ya kushangaza, lakini ndivyo ilivyo, baadhi ya watu wanasaka watoto lakini wengine wanawapata na kuwatupa.Kisa
hiki kimetokea jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo mtoto huyo wa
mwaka mmoja sasa anayelelewa Hospitali ya Taifa Muhimbili, wazazi wake
wamekutana na mkono wa sheria na kutupwa Gereza la Segerea baada ya
kubainika kuwa, walimtupa mtoto huyo huku wakijua ni kinyume cha sheria.
0 Response to "ANGALIA PICHA BABA, MAMA WASWEKWA LUPANGO KWA KUMTUPA MTOTO!!!!..,,,,,taswirainc@blogspot.com!!!"
Post a Comment