BASI UNAAMBIWA HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS, CHEKI PICHA ZAKE HAPA !!!!!,,,,TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM


Thursday, 17 April 2014








CYNTHIA MASASI (TANZANIA)

Ni Video Vixen kutoka Mwanza Tanzania Ambaye anafanyia kazi zake Marekani.Ameshakua Featured Kwenye videos zaidi ya 30 nchini Marekani.Ameshafanya videos na wasanii kama T.I, Juvenile, Jazze Pha, Rick Ross na
wengine kibao. Baadhi ni Ride Remix-Trey Songz Ft Rick Ross,Juelz Santana , Dont touch me – Busta Rymes na I know you see it ya Young Joc.

0 Response to "BASI UNAAMBIWA HUYU NDO DEMU WA KIBONGO KUTOKA MWANZA ALIYEFANYA VIDEO NA RICK ROSS, CHEKI PICHA ZAKE HAPA !!!!!,,,,TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM"