Lucy, Salama na Amina wakishindana kunyonyana ndimi ilikuwa kama movie vile
Raheri na Suzy wakiwa kwenye hisia kali za kunyonyana ndimi hadi mshindi apatikane.
Hawa Xdeejayz haikupata majina yao nao pia wakiwa kwenye kwenye shindano hilo.
Jackline na Neema kama wanavyoonekana
Angel na Monalisa kulia wakiwa kwenye bize kuhakikisha mshindi anapatikana bila upendeleo
Na Mwandishi wa Xdeejayz- Iringa
Na Mwandishi wa Xdeejayz- Iringa
Hakika ni ukweli kwamba
taifa letu la tanzania linakwenda kuangamia kwa kwani vijana wengi
tunaowategemea kuwa viongozi wa kesho na tegemeo kwa tafia hili
wameendelea kuonesha tabia za ajabu kiasi cha kuogopesha.
Wasichana kadhaa
wanaosoma kwenye chuo kimoja maarufu mkoani Iringa jina linahifadhiwa
wamenaswa na kamera za Xdeejayz wakifanya part ya kushindana kunyonyana
mate hadi mshindi kupatikana.
Kwa mujibu wa chanzo
chetu kilichopenya hadi kwenye part hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi
mmoja wa Hotel maarufu Mkoani humo inayomilikiwa na mfanyabishara
aliyefahamika kwa jina la Pongezi Sanga iitwayo Vavene Hotel wasichana
hao walikuwa zaidi ya kumi.
Hata kwa kweli hatari
kubwa sana kwa matukio ya wakina wanafunzi hao wa vyuo kwani kiukweli
taifa letu liko hatarini kukosa viongozi baadae kwani kwa vitendo hivi
hakika hapo hakuna kiongozi mtarajiwa.
Msomaji mmoja wa Blog
hii aliyejitambulisha kwa jina la Nyakulinga alisema " Yani hii ni
hatari upuuzi huu kweli tutategemea kupata mawaziri hapa au rais wa
nchi? Hawa viongozi tuliokuwa nao sasa hawakuwa hivi ndiyo maana
wanatuongoza lakini kama wangekuwa hivi na wao leo hii tusingepata
viongozi bora" Alisema mzee huyo hadi machozi kumtoka kwa uchungu.
Katika shindano hilo msindi alikuwa Salama na Suzy ambao ambao walijinyakulia kitita cha shilingi milioni mbili na nusu.
HII NDO TASWIRA
0 Response to " DUNIA IMEKWISA JAMANI, WANAFUNZI WA CHUO IRINGA WAFANYA PARTY YA KUNYONYANA NDIMI MSHINDI AJINYAKULIA 2,500.000.. TAZAMA HAPA TASWIRA saa 4:38 PM TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM"
Post a Comment