Ndugu wanaokula maiti za watu wakamatwa tena Pakistan,..,.,.,.,soma hapa./,/,., TASWIRA!!!!!!!!!!!!!!


Mohammad Arif Ali  na mdogo wake Mohammad Farman Ali  wakiwa chini ya ulinzi baada ya kichwa cha mtoto kupatikana katika nyumba yao. Picha na Mtandao 
Kwa ufupi
  • Waliachiwa huru baada ya kumaliza kutumikia adhabu hiyo mwaka jana.

Pakistan. Watu wawili wanaotuhumiwa kula nyama za binadamu wamekamatwa baada ya kichwa cha mtoto wa miaka mitatu, kukutwa katika nyumba wanayoishi nchini Pakistan.
Polisi waligundua tukio hilo la kutisha na
No comments:

0 Response to " Ndugu wanaokula maiti za watu wakamatwa tena Pakistan,..,.,.,.,soma hapa./,/,., TASWIRA!!!!!!!!!!!!!!"