SIMBA VS YANGA, AZAM VS JKT RUVU, PRISONS VS ASHANTI soma hapa taswirainc@blogspot.com!!!!!@!!!




PAZIA la ligi kuu soka Tanzania bara msimu wa 2013/2014 linafungwa kesho aprili 19 kwa timu zote 14 kushuka uwanjani katika miji tofauti nchini.
Ligi inamalizika kesho wakati timu tatu zimeshajihakikishia nafasi tatu za juu.
Azam fc wametwaa ubingwa baada ya kufikisha pointi 59 ambazo haziwezi kufikiwa na klabu yoyote.
Yanga wamechukua nafasi ya pili wakiwa na pointi 55 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote chini yake.
Mbeya City nao wameshika nafasi ya tatu kwa pointi 46 ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote ya chini yake.
Simba sc wao wao wapo mbioni kuisaka nafasi ya nne kwa pointi zao 37 baada ya kucheza mechi 25.
No comments:

0 Response to " SIMBA VS YANGA, AZAM VS JKT RUVU, PRISONS VS ASHANTI soma hapa taswirainc@blogspot.com!!!!!@!!!"