Ronaldo kuivaa Bayern Munich soma hapa taswirainc@blogspot.com sasa!!!!



Ronaldo

MSHAMBULIAJI wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ana matumaini ya kurejea Jumanne dhidi ya Bayern Munich katika mechi yao ya kwanza ya nusu fainali. "Nina furaha sana. Nilitaka kucheza na kuisaidia timu (dhidi ya Barcelona) lakini wachezaji wenzangu walifanya kazi nzuri. Nazidi kuwa fiti sasa, sisikii maumivu yoyote. Huenda nikarejea dhidi ya Bayern au katika mechi ya marudiano nao."

0 Response to "Ronaldo kuivaa Bayern Munich soma hapa taswirainc@blogspot.com sasa!!!!"