YATIMA WAMTOA MACHOZI BATULI,,,,,KANUMBA DAY!!!!!!!!!!!

TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM

Deogratius Mongela na Shani Ramadhani
MWIGIZAJI Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amejikuta akiangua machozi baada ya kuwaona watoto yatima wa Kituo cha Sinza jijini Dar.
Mwigizaji Yobnesh Yusuph ‘Batuli’.
Tukio hilo lilitokea Jumapili iliyopita wakati Batuli, wanafamilia na mastaa wengine walipokwenda katika kituo hicho kutoa misaada mbalimbali ndipo aliposhindwa kujizuia baada na kuangua machozi.
“Imeniuma, nilivuta picha jinsi sisi tunavyoishi na watoto wetu katika mazingira ya kuwathamini vitu vingi lakini hawa tofauti kidogo inatia uchungu,” alisema Batuli.
Mastaa hao walikwenda kutoa misaada katika kituo hicho ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya siku marehemu StEVEN KANUMBA ,KANUMBA DAY!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

0 Response to "YATIMA WAMTOA MACHOZI BATULI,,,,,KANUMBA DAY!!!!!!!!!!!"