HAWA NDIO WATAKAO ONGOZA MAANDAMANO YA KATIBA YA UKAWA SOMA HAPA TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM SASA!!!!!@2@


April 18, 2014




UKAWA kuongoza maandamano ya kudai KATIBA MPYA itokanayo na maaoni ya wananchi nchi nzima. Ratiba ya awali imeshatolewa na kila kiongozi atakayesimamia itakuwa kama ifuatavyo:
1. Arusha- John Mnyika
2. Dar es salaam- Lema na Sugu
3. Mwanza- prf. Lipumba na Lissu
4. Kilimanjaro- Zitto kabwe na Chiku Abwao
5. Mbeya- Maalim Seif
6. Iringa- Shibuda na Nassari
7. Shinyanga- Wenje na Selasini
8. Pemba- Mbowe na Ana komu
9. Tanga- Halima mdee na Salvatory Machemli.
No comments:

0 Response to "HAWA NDIO WATAKAO ONGOZA MAANDAMANO YA KATIBA YA UKAWA SOMA HAPA TASWIRAINC@BLOGSPOT.COM SASA!!!!!@2@"